LIGI Kuu ya kandanda Tanzania bara inataraji kuendelea leo
Jumamosi kwa michezo mitano kupigwa katika viwanja na miji tofauti. Hii ndiyo
ratiba kamili ya michezo ya leo.
Saa 10 Jioni: Toto Africans vs Mbao FC ( Kirumba Stadium,
Mwanza)
Saa 10 Jioni: Kagera Sugar vs Majimaji FC ( Kaitaba
Stadium,Bukoba)
Saa 10 Jioni: Simba SC vs Mbeya City FC ( Taifa Stadium, Dar
es Salaam)
Saa 10 Jioni: Ndanda FC vs Ruvu Shooting ( Nang’wanda
Stadium,Mtwara)
Saa 1 Jioni: Azam FC vs Stand United ( Azam Complex,
Chamanzi)
No comments:
Post a Comment