GOLI la Emanuel Mammana
dakika ya 79’ limeinusuru Olypique Lyon kulala ugenini Matmut Atlantique dhidi
ya wenyeji Bordeaux katika mchezo wa ligi kuu
ya Ufaransa-Ligue 1 uliofanyika usiku wa Ijumaa.Valentin
Vada aliwafungia Bordeaux goli la uongozi dakika ya 16.
Ratiba ya mechi sita za leo Jumamosi iko hivi
18:00 Paris Saint Germain ? - ? Nancy
21:00 Caen ? - ? Angers
21:00 Dijon ? - ? Nice
21:00 Metz ? - ? Rennes
21:00 Montpellier ? - ? Guingamp
21:00 SC Bastia ? - ? Saint-Etienne
No comments:
Post a Comment