Manchester City ikicheza
nyumbani Etihad iliisambaratisha
timu ya daraja la
kwanzaHuddersfield Town magoli 5-1 na
kutinga robo fainali.
Mjerumani, Leroy Sane
alifunga goli la kwanza dakika ya 30’ mshambulizi wa
Argentina Sergio Aguero
akafunga mara mbili
dakika za 35’ kwa njia
ya mkwaju wa penalty,na
dakika ya 73’, mlinzi
Pablo Zabaleta alifunga pia
dakika ya 38’, na
goli la tano
lilifungwa na raia
wa Nigeria, Kelechi Iheanacho
dakika ya 90’. Goli la
kufutia machozi la
wageni lilifungwa na Harry Bunn
dakika ya 7’.
No comments:
Post a Comment