IKICHEZA kwa
mara ya kwanza
chini ya kocha Craig Shakespeare mabingwa watetezi
wa ligi kuu
England, Leicester City imefanikiwa kupata ushindi
wa sita msimu
huu baada ya
kuifunga Liverpool mabao 3-1 katika
uwanja wa King Power usiku wa Jumatyatu hii.
Mshambulizi wa England, Jamie Vard
alifunga mara mbili
katika dakika za 28’, 60’,
na Danny Drinkwater aliwafungia
wenyeji hao goli linguine
dakika
ya 39’. Ushindi huo
umewaondoa Leicester kutoka
nafasi ya 18 na
kuwapandisha hadi nafasi
ya 15. Goli pekee la Liverpool
lilifungwa na Mbrazil,
Phillipe Countinho dakika
ya 68’.
No comments:
Post a Comment